Random Post

Ngoma za watoto

Baadhi ya watoto wa Shule za Msingi kutoka Wilaya ya Ilala wakionesha vipaji vya kucheza ngoma wakati wa hafla ya kufunga mafunzo ya sanaa yaliyoandaliwa na Baraza la Sanaa la Taifa (Basata),na kufadhiliwa na Kampuni ya Msama Promotions . Jumla ya watoto 200 wamenufaika na mafunzo hayo.

Thursday, March 17, 2016

Food Poisoning (Kudhuriwa na chakula)

Food Poisoning (Kudhuriwa na chakula) Wapenzi  wasomaji karibuni katika kipindi kingine cha Ijue Afya Yako. Kipindi ambacho lengo lake ni kujadili masuala mbalimbali yanayohusu afya na tiba ili kupata ufahamu zaidi juu ya kuimarisha afya zetu na ya jamii nzima...

Wednesday, March 16, 2016

FAIDA ZA PAPAI

FAIDA NYINGI ZA PAPAI. Mpapai ambao kitaalam hujulikana kama Carica papaya, ni mti wenye tunda lenye virutubisho vingi ambao una asili na hulimwa na kustawi katika nchi za kitropiki. Mpapai  hukua hadi kufikia kimo cha mita 10. Mti huu huwa na makovu ambayo hutokana...

Tuesday, March 15, 2016

MAGONJWA YA NGOZI

Mapunye na athari kwa ngozi yako Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasomaji wa blog yetu ya watoto karibuni katika makala nyengine ya Ijue Afya Yako. Katika kuhitimisha kujadili maradhi ya ngozi leo tunaangalia maradhi ya fangasi ya mapunye yanayoshambulia kichwa ambayo...

games

NJIA ZA KUMWANDAA MTOTO KUWA NA UPEO MKUBWA(AKILI) Watoto ni wepesi kushika vitu na ni waelewe sana ,wanakuwa kulingana na malezi wanayopewa na wazazi. Wazazi wengi wanaamini mtoto huanza kufunzwa akiwa miaka 3-4 hapana tunakosea sana wenzetu nchi zilizo endelea...

TUPANDE MITI YA MATUNDA

TUPANDE MITI YA MATUNDA KUKIDHI KIWANGO KINACHOHITAJIKA KWA SIKU. Kila hatua utakayochukua ya kula zaidi matunda na mboga mboga, itakusaidia wewe na familia yako kuwa na afya njema. Hii ni kwa sababu matunda na mboga za majani yana viini lishe muhimu ambavyo husaidia...

ATHARI ZA SPIKA ZA MASIKIONI

SPIKA ZA MASIKIONI ZAWEZA KUSABABISHA UZIWI. Sauti kutokana na matumizi mabaya ya spika za masikioni (earphones & headphones) zaweza kutuweka katika hatari ya kupata uziwi. Katika zama hizi za maendeleo ya digitali, kumekuwepo ongezeko la matumizi la vifaa vya kielektroniki...

Sunday, March 13, 2016

FAIDA ZA MATIKITI MAJI

FAIDA ZA TIKITI MAJI. Tikiti maji ni tunda ambalo kisayansi hujulikana kama Citrullus lanatus katika familia yaCucurbitaceae, ambalo mmea wake hutoa maua na humea kwa kutambaa. Mmea huu ambao hutoa matunda makubwa yaliyo na umbo la tufe au yai, asili yake...